Olimpiadi
Benvenuto
Login

Waziri Mkuu MAJALIWA Alivyozindua Uwanja wa BASEBALL

Grazie! Condividilo con i tuoi amici!

URL

Non hai gradito questo video. Grazie per il feedback!

Ci dispiace, solo gli utenti registrati possono creare le playlists.
URL


Aggiunto da clservice in Olimpiadi
12 Visioni

Descrizione

Waziri Mkuu MAJALIWA Alivyozindua Uwanja wa BASEBALL

Leo Disemba 6, 2018 Waziri Mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anazindua uwanja wa mchezo wa baseball ulioko wilaya ya Ilala jijini Dar es salaam uliojengwa kwa ushirikiano na serikali ya Japan.

Sambamba na ufunguzi wa uwanja huo mhe waziri mkuu anafungua rasmi mashindano ya Baseball kitaifa, Uwanja huo upo katika shule ya sekondari Azania.

#WAZIRIMKUU

Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw
Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL
Website: www.globalpublishers.co.tz
FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers
Instagram: www.instagram.com/globalpublishers
Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari

Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV
Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho USIKUBALI KUPITWA NA HII, BONYEZA LINK https://www.youtube.com/watch?v=L4UGw...

Commenti disabilitati.
RSS